VERSE 1 LYRICS:
Nakumbuka chali mmoja akinikatia
my dear you know that you are my number one
sikujua kulikuwa na number two, number three and number four
[dunia ina mambo]
siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu, baba watoto sita
lakini game yake haijakatika no...
[dunia ina mambo]
juzi nilimuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh
tabia ni zile zile...x4
CHORUS LYRICS:
Still a liar...
you're just a little older[still a liar]
miaka sio shida [still a liar]
sugar daddy liar [still a liar]
[dunia ina mambo]...
VERSE 2 LYRICS:
Mbona mzee hutulii nyumbani kwako
usome gazeti
ule chakula cha mkewe au
ukapewe na wazee wenzako woh
[dunia ina mambo]
vunja mifupa kama meno bado iko
ooh lakini kufukuzana na watoto ehh
acheni aibu ndogo ndogo ooh
[dunia ina mambo]
mpaka achoke mpaka aseme game shoti [game shot]
my sister usijienjoy eeh
tabia ni zilezile...
CHORUS LYRICS:
Still a liar...
you're just a little older [still a liar]
miaka sio shida [still a liar]
sugar daddy liar [stilla liar]
[dunia ina mambo]...
VERSE 3 LYRICS:
Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia
mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia
mwenye heshima ya watu wote eeh
my dear usiwachilie eeh
Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia
mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia
mwenye heshima ya watu wote eeh
my dear usiwachilie eeh
na mikono yote, shikilia
usiwachilie, shikilia
usiteleze, shikilia dada
shikilia wewe, shikilia
na mikono yote, shikilia
usiachilie, shikilia
usiteleze, dada shikilia wewe, shikilia
CHORUS LYRICS:
Still a liar...
you're just a little older
miaka sio shida [still a liar]
sugar daddy liar [stilla liar]
[dunia ina mambo]...
Artist: Kina Grannis
Artist: Sufjan Stevens