Verse 1
this man think he's a cassanova
this man think he's a operator
why lie the man he is fly but
mambo yako yaboesha
showing off with his fancy cars
showing off with his fancy house
kosa lako kosa ni moja
wafikiri wanitisha
Bridge
sitishiki sizubai hizo hela zako hazitishi
sitishiki sizubai hizo hela zako hazi...
Chorus
sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako
hazinitishi
sizubai hunizubaishi na hizo hela zako
hazinitishi
Verse 2
anicheki chini na juu asema I'm fine
and sexy too so he buy me a drink or two
and expect me to go home with you
songa nyuma take a good look
songa mbele pole pole
chunga brother usiteleze
skiza basi nikueleze
Bridge
sitishiki sizubai hizo hela zako hazitishi
sitishiki sizubaihizo hela zako hazi...
Chorus
sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako
hazinitishi
sizubai hunizubaishi na hizo hela zako
hazinitishi
sitishiki wewe hunitishina hizo hela zako
hazinitishi
sizubai hunizubaishi na hizo hela zako
hazinitishi
Verse 3
my girls in the disco my girls on the radio
my girls if you hear me why don't you say so
my girls in the disco my girls on the radio
my girls if you hear me why don't you say so
my girls in the disco my girls on the radio
my girls if you hear me why don't you say so
sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako
hazinitishi
sizubai hunizubaishi na hizo hela zako
hazinitishi
Artist: Discount
Artist: Dottie West
Artist: Rosendo
Artist: Anna Calvi