naamini unaenda hutarudi oh
hata kama sio leo wala kesho eeh
mimi wako mama
nawe wangu cherie mama
mbona hivyo mwenzangu mama
waniacha kisa nini oh
oh bibi eh
sio nia yangu niwe maskini oh
uamuzi wake Mungu eh mama
ufukara oh bibi eeh
si kilema oh cherie mama
naamini iko siku mama
nitakuwa kama wale, fulani eeh
naamini unaenda hutarudi oh
hata kama sio leo wala kesho eeh
mimi wako mama
nawe wangu cherie mama
mbona hivyo mwenzangu mama
waniacha kisa nini oh
oh bibi eh
sio nia yangu niwe maskini oh
uamuzi wake Mungu eh mama
ufukara oh bibi eeh
si kilema oh cherie mama
naamini iko siku mama
nitakuwa kama wale, fulani eeh
kumbuka mama mwenyewe uliapa eeh
tutaishi tutenganishwe na kifo eeh
mi najuta sikujua, oh mama
hukuishi kimapenzi, oh mama
eeh, ukumbuke mama, aah
sikuwa hivyo mwanzo, eeh
dunia kigeugeu, aah
leo hivi kesho vile, mama
eeh, ufukara si kilema, aah
ndio hali ya dunia, hivyo
sitovunjika moyo mama yoyo
siku yangu itafika na mimi oh
eeh, ukumbuke mama, aah
sikuwa hivyo mwanzo, eeh
dunia kigeugeu, aah
leo hivi kesho vile, mama
eeh, ufukara si kilema, aah
ndio hali ya dunia, hivyo
sitovunjika moyo mama yoyo
siku yangu itafika na mimi oh
Artist: Cody Longo
Artist: Papa Roach
Artist: Bruno Mars