Afro, Afro mama oh oh
mtoto wa Sagana eeh mama
salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipokee
nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh
popote walipo, Afro
mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni
nina wasiwasi, mmh
nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho
uliniahidi, Afro
tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh
mbona sikuoni, mama
Afro mama, eeh yao
mtoto wa Sagana, eeh eeh
kaa ukumbuke, eeh
penzi hugeuka, eeh
leo kwangu kesho kwako, mama eeh
utanikumbuka, eeh
Afro,
mtoto wa Sagana
nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh
popote walipo, Afro
mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni
nina wasiwasi, mmh
nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho
uliniahidi, Afro
tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh
mbona sikuoni, mama
Afro mama, eeh yao
mtoto wa Sagana, eeh eeh
kaa ukumbuke, eeh
penzi hugeuka, eeh
leo kwangu kesho kwako, mama eeh
utanikumbuka eeh, yao
Afro wa Kirinyaga, Sagana eeh, eeh
usiniweke pembeni mama, aah
ingawa wako wengi wazuri, mami
lakini nimekuchagua wewe, eeh
tabia zako sawa na sura yako,
nimeridhika kuwa na wewe, eeh
Sagana unipeleke mama, ooh
nikawaone wazazi wako mama
na TZ pia tufike mami
ukawaone baba na mama, eeh
mengine mengi sisemi mama, aah
uamuzi nakuwachia wewe, eeh
mwisho nakuombea salama, Afro
mpaka siku tutapoonana, mami
oh, Magara
Nicholas Magara
mtoto wa Kisii
Afro
I love you mama
hatima basi
Artist: Shirley Murdock
Artist: Kevin Ayers
Artist: Angels Of Babylon
Artist: Futureheads