ntro
Matata hii
Mama milka, mbona unanitesa
Kenzo
Verse 1
Tumekuwa mabeste
Tangu utotoni
Tumesoma pamoja
Tangu utotoni
Tumecheza pamoja
Michezo ya utotoni
Sasa ni mi mtu mzima
Natafuta mchumba
Chorus
Mama, napenda mtoto wako
Naomba, nikumbalie nijipange naye
Mama, napenda mtoto wako
Naomba, nikumbalie nijipange naye
Verse 2
Jamani unasema
Wataka mwenye suti
Awe na degree
Toka university
Sio wa kusakanya
Hajiwezi mwenyewe
Nitafanya chochote
Wee sema tu
Nitakwenda kokote
Wee sema tu
Nitakupa chochote
Wee sema tu
Chorus
Mama, napenda mtoto wako
Naomba, nikumbalie nijipange naye
Naomba, nikumbalie nijipange naye
Verse 3
(huyo)mimi na yee
Tunafaana siku mingi
Tumejuana si utani
Nakuomba ooh
(huyo)mimi na yee
Tunafaana siku mingi
Tumejuana si utani
Nakuomba ooh
(huyo)mimi na yee
Tunafaana siku mingi
Tumejuana si utani
Nakuomba ooh
(huyo)mimi na yee
Tunafaana siku mingi
Tumejuana si utani
Nakuomba ooh
Chorus till fade
Mama, napenda mtoto wako
Naomba, nikumbalie nijipange naye
Mama, napenda mtoto wako
Naomba, nikumbalie nijipange naye