Intro
yeah, ni DEP
(hii ni collabo na Ogopa DJs)
saa madame wote
leo wata-snap fingers
and do the step
(hii ni collabo na Ogopa DJs)
Chorus (Kenzo)
Baby
hakuna mwingine ninayemtaka
namshukuru Mungu nimekupata
nimenang'ana sana niwe namba moja
I will never ever ever ever
find another girl like you
Verse 1 (Collo)
kama penzi ni asali
si mi ntamfuata huyo nyuki
dowry ni bei gani
samahani sikumbuki
last time kukucheki bei yako ilipanda juu
high class mschana unafaa kukuwa my baby boo
mwaah, busu
lako lanifanya niwe mahabusu
keeper ashafungwa, ha
hebu imagine uki-fuse na rapper
usijali wee ndio naenda ku-introduce kwa matha
au vipi
Chorus (Kenzo)
Baby
hakuna mwingine ninayemtaka
namshukuru Mungu nimekupata
nimenang'ana sana niwe namba moja
I will never ever ever ever
find another girl like you
Verse 2 (Collo)
inakaa valentine's ita-come early this year
wee ni mrembo una every right ya kujiskia
juu roho yaumia I'm missing my baby
punde akinirudia now we kissing like crazy
bride leo ako tayari je
ndoa inabisha so unitarajie
wee ni partner mpoa so tufunge business
Collo, yes ndio Mister
and you are my Missus
Chorus (Kenzo)
Baby
hakuna mwingine ninayemtaka
namshukuru Mungu nimekupata
nimenang'ana sana niwe namba moja
I will never ever ever ever
find another girl like you
Verse 3 (Collo)
Mwili yako ni ya hali ya juu
si siri hata Beyonce has nothing on you
machozi zitabidi zinamwagika
Shakira akiona ukikatika
juu tuna chemistry
physique poa pia biology
love lines undercover reverse psychology
I'm sorry sita keep my distance
usha-cause effect flani, man na mi ndio litmus
Chorus (Kenzo)
Baby
hakuna mwingine ninayemtaka
namshukuru Mungu nimekupata
nimenang'ana sana niwe namba moja
I will never ever ever ever
find another girl like you
Outro (Collo)
saa madame wote
leo wata-snap fingers
and do the step
mazee kuna always that one chick mazee
one chick
anafanya ma-love lines zinajaa akilini ka MP3
ki-DVD
DEP lover lover coming through
baby halla
Chorus (Kenzo)
Baby
hakuna mwingine ninayemtaka
namshukuru Mungu nimekupata
nimenang'ana sana niwe namba moja
I will never ever ever ever
find another girl like you
Artist: Erja Lyytinen
Artist: Aesop Rock
Artist: Etienne De Crécy
Artist: August Alsina