Kwa maana jinsi hii Mungu
Aliupenda ulimwengu
Kamtoa mwanawe ili
Tupate uzima milele
Atupenda
Atupenda
Atupenda
Atupenda kweli
Ni upendo gani huu
Mwokozi kujitolea
Atufilie wenye dhambi
Tupate uzima milele
Alitufia
Alitufia
Alitufia
Tupate uzima
Artist: Johnny Cash
Artist: Bonobo
Artist: Rufus