Chorus
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Verse 1
The mic is in my hand
mfukoni na mbachu
madame kadhaa jamaa leo ntakwachu
si kama kawaida kwa wengine ni ajabu
Kiswahili kitambae wote wanifahamu
na kama huelewi shika kamusi babu
usiogope saa zingine Kiswahili ni taabu
but weka bidii basi weka nidhamu
uelewe hii maana na uelewe sababu ya
msanii mwenye akili timamu
niki-rap maneno yanayochonga fahamu
kweli mwenda pole hajitegi jamaa
waliodhani wako mbele wako nyuma jamaa
Chorus
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Verse 2
mi hunoki ma-bad girl
madame wenye class
madame wenye pesa
na figure na a**
usicheki kama hauelewi hii grammar
kama hukunipata basi narudi tena
mi hunoki ma-bad girl
madame wenye class
hawachelewi na time
akitokea ni dime
basi shika hii glasi
hebu cheka kiasi
amkeni tu-party
Pinye yuko ndani
DJ washa taa
wacha watu wabanjuke
weka speaker na bass mpaka speaker ipasuke
mi huimba ragga lakini leo nime-switch
ka mafala hawashiki basi leo wata-flip
toka zama za kale
kama mawe za Kwale
nimekomaa kwa hii mchezo mimi ni mnare
maneno magumu kama tofali
usiwachezee wale waliokufunza wewe kamare
samahani mi sina utani
ile ya ndani
na ma-haters wakistua mimi naweka imani
kwa mafans wangu kamili
inua glasi
Chorus
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Verse 3
Najua mna-feel fresh vibes ndio
niki-flow na hii style ndio
vitu mpya nawapa au sio
Dutty sounds we lock it au sio
Najua mna-feel fresh vibes ndio
niki-flow na hii style ndio
vitu mpya nawapa au sio
Dutty sounds we lock it au sio
Chorus
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Shika glasi
weka barafu
miminya kinywaji
inua kwenye mashavu
leo ni leo msema kesho ni bafu
wakitaka wasitake game yangu ni chafu
Artist: Kingfisha
Artist: Barry Adamson
Artist: Sisqo
Artist: Gorillaz