Chorus 2x
Sogea sogea we cheza nami aha
Nikikutizama nawe upate raha
Usitazame pembeni jua, you are my man
Usitazame pembeni jua, you are my man
Verse 1
Siku ya kwanza uliponitokea Nilishindwa hata kujizuia Karibu nawe nikakupitia Haya nguvu nikapotelea
Tabasamu nikaliachia Viungo vyote vilinilegea
Pale nawe uliponiitikia Maungo yote yakasisimka Nimeshakupenda Nimekuzimia Sijiwezi tena hata kusogea Repeat Chorus 2x
Verse 2
Embu nitazame ninavyoumia Naomba useme umenipokea Nataka niwe nawe katika dunia Nakupenda sana sitakuachia
Ukweli wangu nimeshakwambia
Penzi kikohozi dawa naijua
Ukweli wangu nimeshakwambia
Penzi kikohozi dawa naijua
Njoo nibembeleze Nakuaminia
Nipe raha baby Nimekuzimia
Repeat Chorus 2x
Verse 3
Come to me baby boy I wanna hold you,
kiss you Nakutakataka Come to me baby boy
Ninakutamani Ninakuhusudu Niwe wako baby
Nipe nipe mambo Come to me baby boy
Repeat Chorus till fade
Related
Songs You Love If You Love Nerds
Every Lyric From The Weeknd's New EP 'My Dear Melancholy,'
Every Lyric From Keith Urban's New Album 'Graffiti U'
Check Out
Watch Janelle MonĂ¡e's Sci-Fi film 'Dirty Computer'
Match These Taylor Swift Songs to Her Ex-Boyfriends
Nicki Minaj Drops New Songs 'Barbie Tingz And 'Chun-Li'
The Best Karaoke Songs Ever, Ranked
Artist: Paul Sabu
Artist: Dads
Artist: Fuzz Fuzz Machine