Ooh Rita (Rita) 3x Ooh Rita oh no no no
Chorus
Sauti inasikika Tega makini, hujui nani inamwita
Chozi lanitoka nitazamapo angani, Naona Sura ya Rita
Ona mikono yangu mitupu, imezoea kukushika we
Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe Ooh Rita 2x
Daily nakuwaza wee
Ooh Rita 2x
Mimi nitanyamazaje?
Verse 1
Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana, Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana,
Ila we unajua ni yako familia,
damu yangu ya Bongo si ya Asia.
Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa. Kumbuka ile mimba ndio iliyokufanya
ukaja kwangu (ulifukuzwa kwenu).
Ulijifunguapo mtoto na wote mkaishi kwangu (ukawachukiza kwenu).
Na taarifa ikaja kwako wewe Rita,
Uende Arusha nduguzo wanakwita,
Ukani-kiss kiss mimi na mtoto,
nikakukiss hey hey
Chorus
Verse 2
Ni tangu Arusha hadi Iringa simu inaita napokea unalia, Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee, Mwanao analia, ona mumeo ni bora ninywe pombe.
Ila kwa penzi ukafosi kurudi,
piga simu mume wangu nakuja,
Na maneno ya konda kwenye basi ulifika alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa.
Ile siku mi nimelelewa,
niko mi na mwanangu kumpokea mke wangu.
Konda akasema si wewe, ila tu mwili wako
Chorus
Ooh Rita Rita ahh Na Marco Chali,
ndani ya MJ Records,
this is true story to Marco
Rita 3x
Aaah hata nyumbani kwangu haupo!!
Artist: A-wax
Artist: Hank Snow
Artist: Jimmies Chicken Shack