Mmmh ad lib Aiya ya ya ya....
Chorus
Yote mlosema, mlotenda, nasahau,
nasonga mbele Mangapi yamesemwa,
mangapi nimeona Mmmh liosema
Aah nasonga mbele Mangapi yamesemwa,
mangapi nimeona Eh nimesemwa sana jamani,
Hamchoki?
Repeat Chorus
Verse 1
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki Kusemwa semwa sitaki,
hakuna alie msafi
Repeat Chorus
Verse 2
Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanii kwa ukweni
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
Ooh siku hazigandi, hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi
Verse 3
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Repeat Chorus till fade
Artist: Snitch
Artist: Noah & The Whale
Artist: Linkin Park