Chorus
Anita, Anita wangu, hey lele
lilei iyeeee iyee
Ei sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja
Verse - Matonya
Nasikia mazoea yanatabu, leo
ndio naamini
Tangu uondoke Anita raha nakosa
mimi
Ukumbuka tulilishana yamini
Kwamba mimi na wewe
Maisha milele mpaka nafukiwa
chini
Ni mawazo yanautesa moyo wangu
Anita nielewe
Natamani uyajue ili unilinde
mimi
Sijajua uliwaza nini Anita
kuwa
mbali na mimi
Hata hilo nilijue ili nisaishe
mimi
Kama ni maradhi, mimi ndio wako
nakitari
Unambie mapema ili dawa yake
niijue
Kama ni waradhii iiiiiie
Anita
Repeat Chorus
Verse - Lady Jaydee
Unajua nilikupendaa zaidi
Ila ya dunia we yalikuzidi
Nilitamani kuwa nawe zaidi
Kuliko yoyote unayemdhani
Siku zote uko safarini kuniacha
mimi upweke
Mimi nilikupena sana we mpenzi
Je kweli wataka kunienzi
Au unataka kunitia mi mashakani
Verse - Matonya
Siku zote nipo kama chizi, ni
yangu njiani naongea
Hiyo yote sababu yako anita kilio
pokea
Chifu na majirani mtani wanakuulizia
Sina la kuwajibu nabaki kama
chichi najililia
Waliniambia nikuache wewe
Ili mimi niishi mwenyewe
Masikio nikaziiba, vipi niishi
bila wewe
Wakasema hutonisamini, wala
haikuniingia akilini
Gozi, gita wakapiga jua wewe
ndio wa maishani
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga
Kwako taabani nimeshamwaga
manyanga
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga kwako
taabani.
Repeat Chorus till fade
Artist: Jenni Rivera
Artist: American Music Club
Artist: Mis-teeq
Artist: Mary Rose