Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi
No Jokes No Jokes No Jokes No Jokes
Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi
No jokes no jokes no jokes no jokes aah
Si mchezo kwangu hii ni kazi yangu
Si lazima ni du kazi ya offici ni do vi u du
Kama mbaya mbaya hakuna kugwaya
Hii muziki basi ndio kazi yangu
CV yangu ni hii beat inacheza
Zinatengenezwa kila siku
Sina stress na mtu staki stress pia
Sina shida na mtu staki shida pia
Nawambia tu vile najiskia pia
Naisema ile njia ninaweza so
Check end month ni kilia daily
Pole sana will do it my way
I'll do it my way I'll do it my way
Maisha highway na kuta one time
Hakuna u-turn ama rerun
Mungu basi amenisaidia kazi
Vile nimeanza kuna kushukuru
Bado sija pata ndaii Bado sija pata ndaii
Lakini nita wai wai Lakini nita waiwai
Bado sija pata ndaii Bado sija pata ndaii
Lakini nita waiwai Lakini nita waiwai
Bado sija pata ndaii Bado sija pata ndaii
Lakini nita waiwai waiwai waiwai waiwai
Lakini nita waiwai
Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi
No Jokes No Jokes No Jokes No Jokes
Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi
No jokes no jokes no jokes no jokes
Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi
No jokes no jokes no jokes no jokes
Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi
No jokes no jokes no jokes no jokes
Artist: Fiji
Artist: Verve Pipe
Artist: Architecture In Helsinki
Artist: Dolly Parton