Oh oh
Dunia ina mambo bana
Usishangae sana, sana
Tena sana, sana (eh ehe eh)
Hata mimi nashanga bana
(Hata mimi ( nashanga bana x2)
Ukiniona waniona na aibu sana,
Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana,
Siku hizi naogopa kuomba bwana,
Juu hata mifuko za wakora zaimba hosana,
Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki,
Nikalimwa na asali,
Weka tumbo mbele wacha akili nyuma,
Maiti kavalia,
Walisema sikuskiza, oo
Mama na baba walinighusia ewe kijana,
Kuwa mwanangu jionee
Dunia ina mambo
Yao sikuyasikiza,
sasa mimi najuta,
Kweli najionea,
Dunia ina mambo
Hey
Chorus
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo
Nafunga bao,
Niite pita dao,
Ubaya ya binadamu
Ni rahisi kusahau,
Changu ni chetu,
Lakini Chako ni chako,
Mtu wangu ah aah wacha vako,
Marafiki wamekuwa manafiki bana,
Najionea tena kushangaa sana
Niliacha kuwa mjinga, (nini)
Ati sasa najiringa,
Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado
Walinambia kijana,
Jihadhari na 'limwengu
Hao walimwengu si wazuri kwako kijana,
Yao sikuyasikiza,
Sasa mimi najuta
Kweli najionea,
Dunia ina mambo
Hey
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo
Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana
Watakusifu -oo wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia
Na mengi kusema wewe kijana mbaya
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo
Dunia ina mambooo
Dunia ina mambo
Dunia ina mamboo
Ah aah aaah
Ah aah aaah
Artist: This Mortal Coil
Artist: Landon Pigg
Artist: Mystic Circle