Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo.
(Vearse one)
Sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga...
tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava...
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua!
Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua,
Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa!
Mmmh! Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana)
(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili)
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu...
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu,
ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu.
Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa,
kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kwangu,
ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo wangu.
Related
Can You Guess The Song By The Emojis?
LATEST SONG: Katy Perry - 'Harleys In Hawaii' - LYRICS
NEW SONG: YoungBoy Never Broke Again - 'Lonely Child' - LYRICS
Artist: Gary Wright
Artist: Richard Thompson
Artist: Yg