[Verse 1] - Young Lunya
Baby una bonge la shape, sura pia,
Bonge la upaja na guu la bia,
Mtaani, mtaani wanakunyatia,
Eti nnapokula mi wanataka kula pia, mmh!
Sema mwingine I don't see,
Haters wanabaki like OMG (OMG)
Wanafki nao oh hooh,
Hawawashi.. pilipili hoho,
Baby la kichaga, shimboni
Baby we ni maji, shingoni
Baby we ni mwisho, ukingoni
Baby una utundu wa kingoni
Na pozi za kisister du,
Chini nikila AirMax we ni viatu vya juu,
Tumetoka mbali hawajui,
Tumetoka mbali, M-Rap, Hawajui
[Chorus] - Young Lunya
Oh baby it's you, unanifanya nifurahi
Kila saa natabasamu,
Oh baby it's true, unaponiangalia
Unaniteka tena sana
So nkaona bora nibaki na wewe
(Bora nibaki na wewe) - x 3
[Verse] - Salmin Swaggz & Young Lunya
Mara ya kwanza namuona alikua anatoka class,
Ili ajue sinywi pombe nikaficha glass,
Daftari likanihusu.. maana ana class,
So, akaniruhusu mi nikampa trust,
No negativity tukaenda dhibiti,
Maneno ya marafiki tukayafunga kama vizingiti,
Told her about the games that I don't play, (Don't play)
Kabla sijasema she know what I'm gon' say, (Gon' say)
You know my family, you know my whole spirit,
Nishatembea na madem wana hoe spirit, (Hoe spirit baby)
Nawapa wanachezea but they don't steal it,
It's coming from my heart so I know you feel it,
[Hook] - Young Lunya
We... na wewe,
Utakapoishi we,
Nataka niishi na wewe
[Chorus] - Young Lunya
Oh baby it's you, unanifanya nifurahi
Kila saa natabasamu,
Oh baby it's true, unaponiangalia
Unaniteka tena sana
So nkaona bora nibaki na wewe
(Bora nibaki na wewe) - x 3
[Bridge] - Conboi
Tumetoka mbali, tunakwenda mbali nataka ufike na mimi girl,
Twende nyumbani ukawaone wazazi, yeah
Nampenda mpenda she knows that (She know dat)
Sintomtenda she knows that (She know dat)
Nampenda mpenda she knows...
Sintomtenda, mi nampenda
[Verse] - Country Boy
Ipite siku sijakuona moyo utanidunda,
Kwa uzuri ulio nao sijui kama utachunda,
Mungu akupe nini, we zaidi ya dini,
Mi mshamba wa mapenzi ukicheche za watoto wa mjini, haah
Nataka siku uniite husby, haah
Tuzae watoto waniite daddy,
Sitoi boko mechi zote mi ni shuti ndani,
Unanidatisha unaposema "I'm coming..."
[Outro] - Young Lunya
Bora nibaki na wewe x4
Mama we, bora nibaki na wewe
Wengine wananichanganya changanya nkaona bora wewe
Artist: Sinner
Artist: Peter Bardens
Artist: The Weeknd
Artist: Orleans